Mahakama kuu leo Februari 21, 2017 imetoa maamuzi kuhusu kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya.