Mahakama kuu leo Februari 21, 2017 imetoa maamuzi kuhusu kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya.

Bofya hapa kutazama

Man City Waisasambua AS Monaco
Video: Serikali kujenga barabara za lami Manyara