Magufuli ang’oa mzizi wa miaka 44 Dodoma, Waziri wa JK atishwa kwa risasi, ashikiliwa Polisi kwa mahojiano, hatima yake kujulikana leo, Milioni 320/- zamtoa roho jambazi Dar, Jinamizi la Lowassa bado laitesa CCM…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 16, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama.

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 16, 2017
Serengeti Boys yaonyesha matumain AFCON, yawabana mabingwa watetezi