Leo Septemba 6, 2016 Bunge la 11 mkutano wa nne limeanza rasmi, Katika kipindi cha maswali na majibu, Mbunge Saada Mkuya Salum ameiuliza Serikali kuwa inatambua uhaba wa vifaa tiba na wataalamu wenye ujuzi katika vituo vya afya vya Jeshi ambavyo vinasaidia kutoa matibabu kwa maafisa hao wa jeshi pamoja na wananchi waliopo jirani na maeneo hayo? Haya hapa majibu ya Serikali #USIPITWE

Martin O'Neill Aikana Hull City
Mark Clattenburg Kusimamia Sheria 17 Old Trafford