Video: Mamia wamuaga Mzee Majuto, atonesha mioyo ya Watanzania
6 years agoComments Off on Video: Mamia wamuaga Mzee Majuto, atonesha mioyo ya Watanzania
Mzee Majuto aagwa na mamia ya watanzania, atonesha mioyo ya Watanzania, Rais Magufuli, Kikwete, Mufti waongoza waombolezaji Dar, kuzikwa Tanga leo, Hoteli zafurika Tanga maziko ya mzee Majuto…, Bofya hapa kutazama habari kubwa katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Agosti 10, 2018.