Fuatilia hapa uchambuzi wa wimbo wa Foby unaoenda kwa jina la Pumzi, akifanunua mstari kwa mstari katika kipindi cha mstari kwa mstari.

Ni wimbo wenye mafundisho mengi unaozungumzia juu ya wapenzi wawili ambao waligombana na kusameheana lakini pamoja na kusameheana bado mmoja anayazungumza mapungufu ya mahusiano yao pembeni.

Hiki ndiyo kipindi pekee kinachokuwekea karibu ‘Lyrics’ mistari ya nyimbo za wasanii mbalimbali na kuifafanua zaidi.

Msikilize Forby akifafanua kwa kina mistari kwa mstari wimbo wake wa ‘Pumzi’.

Serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki.
Jela miaka miwili kwa kumuita'farasi' mke wa mtalaka wake Facebook

Comments

comments