Uongozi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI) umejitokeza na kukanusha taarifa ilizotolea na Gazeti la Mwananchi la tarehe 27/7/2016 ukurasa wa nne na Mwananchi la tarehe 3/8/2016 yenye kichwa cha habari “Kubana matumizi kunasababisha msongamano MOI”.

MOI imesema – “Si kweli kwamba ongezeko la wagonjwa MOI limetokana na kubana matumizi kama ilivyodaiwa bali ongezeko hilo limetokana na ongezeko kubwa la ajali za barabarani hususani ajali za pokipiki(Bodaboda)”.  Hii hapa taarifa kamili kutoka MOI bofya hapa chini kutazama video   #USIPITWE

Tamasha La Simba Day Lipo Pale Pale 'Halijapeperushwa'
Chelsea Waingia Kwenye Rada Za Arsenal