Tanzania yalamba dume Uturuki, Ukawa yashangaa, yajiuliza kilichojiri uchaguzi mdogo udiwani, ubunge… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 24, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Trump, Netanyahu kusaka amani mashariki ya kati
Mlango wa Bombardier wazua taharuki angani