Mauaji ya raia Pwani, Ukiwakamatisha 12 umetajirika, Makonda atema nyongo, asema tuhuma za kuvamia kituo cha Clouds ni sawa na igizo, adai tume iliyoundwa na Nape haikuwa na sifa ya kumhoji, Wabunge: Viwanda bila kilimo havipo, wataka bajeti iongezwe, utafiti katika kilimo uimarishwe, Mauaji Kibiti yaumiza vichwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 23, 2017. Bofya hapa kutazama.

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 23, 2017
Video: Clouds watoe ushahidi - Kamanda Sirro