Kamanda wa Polisi Mkoani Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mahamoud Hassan Banga amethibitisha kukamatwa kwa vifaa Tiba pamoja na Noti bandia, baada ya kufanyika kwa operesheni na misako Mkoani humo.