Idadi ya miili iliyofukuliwa shambani kwa mchungaji tata Paul Mackenzie ambaye inasadikika aliwashawishi waumini wake kufunga hadi kufa katika kijiji cha Shakahola kilichopo Kauntu ya Kilifiki nchini Kenya, imefika zaidi ya 200.

Zoezi hilo, limesitishwa kwa siku mbili, kutokana na umbali ambao unawakera wakazi wa eneo hilo wanaotaka waokoaji waendelee na zoezi hilo huku maofisa wa usalama wakiendelea na juhudi za uokozi zaidi.

Hatua hiyo ya serikali ilitotangazwa na mshirikishi wa usalama ukanda wa Pwani, Rhoda Onyancha ya kusitishwa kusitisha shughuli ya kufukua makaburi kwa siku mbili imezua hisia mbalimbali kutoka kwa wakazi wa Shakahola.

Akizungumza wakati wa ibada katika kanisa la Africa Inland Milimani Rais wa Kenya, William Ruto alisema utawala wake utawachukulia hatua wanaotumia dini vibaya na kuongeza kuwa Serikali imewatambua waliohusika na mauaji ya Shakahola.

Mayele: Tutapambana hadi kieleweke
Kocha Coastal Union atoa neno la shukurani