Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani lenye nchi 47 huku likiongozwa na marais tajiri lakini ni moja ya bara maskini duniani.
Utafiti uliofanywa mwaka 2017 umebainisha orodha ya marais tajiri barani Afrika kwa kuzingatia mapato wanayoyapata ambapo katika orodha hiyo hata hivyo Tanzania haijaingia katika orodha hiyo
Orodha hiyo imebainisha kuwa
Paul Kagame akishika nafasi ya 5, kati ya marais tajiri Afrika ambapo kipato chake kinakadiriwa kuwa ni dola 500 za kimarekani.
Huku nafasi ya nne ikishikwa na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambaye anakadidiriwa mapato yake kuwa si chini ya dola za kimarekani million 15, Uhuru anamiliki heka 500,000 za ardhi ambazo zilikuwa zikimilikiwa na baba yake Jomo Kenyatta mwaka 1960 na 1970.
Teodoro Mbasogo huyu ni rais wa Equtorial Guinnea, akishikia nafasi ya tatu katika rais taijiri Afrika huku mapato yake yakiwa ni dola za kimarekani 600
Nafasi ya pili ikishikwa na King Mohamed ii ambaye ni rais wa Morocco, huyu ni moja ya mataijiri wakubwa Afrika mapato yake kwa mwaka ni zaidi ya billion moja inakadiriwa kuwa pato lake ni dola za marekani bilioni 2.5.
Nafasi ya kwanza ikiwa imeshikiliwa na Rais wa Angola anayeenda kwa jina la Jose Eduardo Dos Santos Rais huyu akiongoza kwa kushika pesa ndefu Afrika ambapo kipato chake kikiwa ni dola za kimarekani bilioni 20, akiwa amemuacha mbali sana rais wa pili wa Morocco King Mohamed kwa dola za kimarekani bilioni 18.