Waziri Mkuu, KassimMajaliwa leo Mei 10, 2023 amezindua huduma za upandikizaji wa Uloto katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Huduma hiy inatarajia kusaidia kupona kwa wagonjwa wenye Selimundu (Sickle Cell Anemia) na mpaka sasa wagonjwa watatu wametibishwa kuwa wamepona kabisa.

Lionel Messi ambwaga Hamilton tuzo za Laureus
Wizara yatakiwa kuharakisha ufumbuzi Madini ya Lithium