Marais Wastaafu pamoja na viongozi kutoka nchi za nje wameendelea kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza wakielekea Mkoani Geita wilaya ya Chato kwa ajili ya kushiriki katika mazishi ya Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Marehemu Monica Jospeh Magufuli yanayotarajiwa kufanyika leo wilayani huo.

Marais Wastaafu waliopokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza ni Mzee Ali Hassan Mwinyi, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mzee Benjamin William Mkapa  huku wakiongozana na wake zao pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga

Serikali kufunga kamera barabara kuu nchi nzima
Waamuzi 82 kusimamia sheria 17 Ligi Kuu 2018/19