Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho wa mabalozi mbalimbali leo Januari 16, 2019.