Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Kigoma katika ziara ya kikazi ambapo leo Julai 22, 2017 yupo katika viwanja vya Lake Tanganyika akiongea na wananchi mkoani humo. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka mkoani Kigoma

Serikali yapanga mikakati mizito kukabiliana na tatizo maji
IGP Sirro awatega askari, awataka kufanya kazi kwa weledi