Dakika 10 za damu CUF, Waandishi wa habari nao waonja joto ya jiwe…, Magufuli aitisha kikao cha wabunge wa CCM, UN yamtoa hofu Rais Dkt. Shein, yasema Tanzania ni nchi ya mfano barani Afrika, haioni sababu ya kukatisha misaada, Mwalimu wa shule ya msingi amuua mwanaye kwa kipigo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 23, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Vurugu zaibuka katika mkutano wa CUF Dar
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 23, 2017