Kampuni ya DataVision International imejitolea kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa Saratani ambao wako katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Hayo yamesemwa na Ofisa Utekelezaji kutoka Taasisi ya Tumaini la Maisha, Lilian Ndyetabula kutoka jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na Dar24 Media.

Amesema kuwa kwasasa wanaishukuru DataVision International kwa kutoa misaada kwa watoto wenye ugonjwa wa Saratani.

Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania Mei 19, 2018
Bi Sandra aigomea harusi ya Diamond na Hamisa