Dar24.com imekutana na kijana Meshack Salum mwenyeji wa mkoa wa Kigoma ambaye amesimulia maisha yake ya ajabu aliyokuwa akiishi kabla ya kubadilika. Kijana Meshack amesema ameishi maisha hayo kuanzia alipokuwa na umri mdogo baada ya kupata nguvu za ajabu ambapo ameeleza kuwa kupitia nguvu hizo za ajabu ameweza kufanya mambo mabli mbali yakutisha.

Pamoja na mwengine mengi amepitia katika maisha magumu ya kutisha hali iliyopelekea rafiki zake kupoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha huku yeye akinusurika. Bofya hapa kufahamu mambo gani amepitia Kijana Meshack na kitu kilichosababisha kuingia katika maisha hayo na jinsi alivyoweza kutoka katika maisha hayo ya ajabu

 

Arsenal Waonja Shubiri Goodison Park, AFC Bournemouth Yachanua
Makonda azindua ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita moja jijini Dar