Manji sasa aibuka kortini kivingine, Kishindo Makinikia, Acacia yaweka zana chini, TRA yaeleza ilipotoa hesabu za Sh. trilioni 424 inazodai kampuni hiyo, Undani kijana mtekaji wa watoto Arusha, Walaji mishahara hewa waanza kukiona…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2017. Tazama video

LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Septemba 5, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2017