Ngeleja ajaribu kukwepa Keko, Takukuru bado yamng’ang’ania, Majipu sasa yanajitumbua yenyewe – JPM, ahamishia vita ya ufisadi kwenye pembejeo, Mdee aachiwa, Makinikia ya Acacia kuwekwa mezani kesho, Spika akimsubiri Dodoma…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 11, 2017. Tazama video hapa

Mpina aitaka NEMC kukichunguza kiwanda cha ANBANGS
Ndege ya jeshi la Marekani yaanguka na kuua 16