Usiyoyajua sakata la shamba la Sumaye, Uchunguzi ‘Makinikia’ almasi pasua kichwa, ukata watajwa kuchelewesha kamati teule, Watoto Lucky Vincent kurejea nyumbani kesho, Mahakama yawagomea wabunge waliofukuzwa CUF…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2017. Tazama video

Wazee walalamikia malipo TASAF, wadai yasilipwe kwa mtandao
RC Kigoma apiga marufuku shughuli za kilimo msitu wa Kagerankanda