Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amekabidhi mchango wa rambirambi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dkt. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017

Comments

comments