Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma, katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 28, 2017 ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anajibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge kisha kipindi cha kawaida cha maswali na majibu kitaendelea.


Haji Manara atoa neno lenye salamu za pole kwa Rais TFF
Video: Chile yaing'oa Ureno kombe la mabara, yaitundika penati 3-0