Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi, akiwa ameambatana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, walifika eneo la ajali iliyohusisha Lori na magari mengine matatu katika eneo la by PASS lililopo Ngaramtoni jijini Arusha na kupelekea vifo vya watu 25 huku wengine 21 wakijeruhiwa.

Aidhq, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini naye aliwatembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Arusha Mount Meru Arusha kama inavyoonekana katika baadhi ya picha za mayukio mbalimbali ikiwemo za ajali.

Wafuasi tisa wa ANC wafariki kwa ajali ya basi
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Februari 26, 2024