Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi, anawatakia Wanawake wote maadhimisho mema ya siku ya wanawake duniani .

Katika ujumbe wake, Mhandisi Mahundi amesema, “kuwekeza kwa mwanamke ni kuzuri kwasababu hata kwa sasa Rais tuliye nae ni mwanamke na ustawi wa jamii yoyote ile lazima iwekeze kwa wanawake ili kuharakisha maendeleo.”

“Kwa muktadha huo, Wanawake wote hususani wa Sekta ya Maji tuchape kazi na matokeo yaonekane kwa wananchi kwa kuwapatia huduma ya majisafi safi na Salama,” amesema.

TEEMO waadhimisha siku ya Wanawake kwa uzinduzi
Nishati safi ya kupikia: Safari imeanza