Habari Maisha Matukio Mazingira Sauti Zetu Siasa Zetu Uchumi Rais Samia azindua Kampeni ya Tutunzane 5 months ago Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero mkoani Morogoro hii leo Agosti 3, 2024 inayolenga kuepusha migogoro ya Wakulima na Wafugaji pamoja na watumiaji wengine wa ardhi. Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Agosti 4, 2024 Rais Samia apata muarobaini mgogoro wa Wakulima, Wafugaji