Naitwa Mage, kuna kaka ninafanya naye kazi, yeye ni mume wa mtu, nilijikuta niko kwenye mahusiano naye huu ni mwaka wa nne na tuna mtoto mmoja ana miaka miwili ana muhudumia vizuri sana.

Tangu mwanzo nilijua kaoa lakini kwa sababu hapa tulipo hakuna wanaume wengi, ule ukaribu tukajikuta tumependana. Mwanzoni mke wake alikuwa anakuja, lakini baada ya mimi kuwa na mahusiano na mume wake, akamkataza kuja.

Akawa yeye ndiye anaenda mara kwa mara. Niliona sawa, na ingawa hakuniahidi chochote, nilijihisi kama ananipenda, na niliamini kwamba atachana na mke wake.

Lakini haikuwa hivyo. Mwaka jana, baada ya kuona kwamba mwanaume hajanitambulishi hata kwa ndugu zake, nilimtuma rafiki yangu amtafute dada yake na kumwambia kwamba ndugu yake ana mtoto huku.

Basi dada yake akafuatilia na kunitafuta, na walinipelekea mpaka kwao. Kwa sababu mke wake ananifahamu kama mfanyakazi mwenzake na mume wake, na ana namba zangu kwa makusudi, niliblock mwanaume wangu, na nikapost picha status nikiwa kwao.

Lengo lilikuwa ni mwanamke kuniona na kuniuliza kwa nini nimezaa na mumewe. Mke wake aliiona ile status, nikapost nyingine na nyingine, lakini hakunitafuta, na inavyoonekana hakumuuliza hata mwanaume, kwani mwanaume hakuniuliza chochote, alinikasirikia tu kwa kuongea na dada yake, lakini si kuhusu mke wake.

Sasa kama mwezi mmoja uliopita, mke wake kaja. Inaonekana kapata uhamisho kaja huku kumfuata mume wake. Mwanaume aliniambia kwamba mke wake kaja, hivyo niwe mbali na yeye.

Kitu hicho kiliniuma, lakini kilichoniuma zaidi ni mke wake kunikalia kimya. Kuna siku alikuja hapa ofisini mtoto wake alikuwa anaumwa, kwani sisi wote ni madaktari. Nilikutana naye, akanisalimia vizuri, hakuonesha kinyongo chochote, kama vile hajui.

Akaongea na mume wake, na kuondoka. Kitu hicho kiliniuma sana, hatimaye niliamua kuachana na mwanaume wa mtu nami nikaanza kutafuta wa kwangu ndipo nikaenda kwa Kiwanga Doctors huko Migori, Kenya.

Kiwanga Doctors alinifanyia love spell na mwisho wa siku nilipata mwanaume ambaye alikuja kunioa na sasa naishi naye, kusema kweli kama nisingechukua hatua hii, hadi leo ningekuwa namng’ang’ania mume wa mtu.

Kwa miaka watu wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma zao. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.

Katumba waomba kujengewa Zahanati kuepusha vifo, kujifungulia njiani
Karume Day: Mambo mawili muhimu ya kukumbukwa