Gonjwa la tumbo lamvuruga Sethi wa Escrow Keko, aomba aruhusiwe akatibiwe ughaibuni, Korti yamkatalia, Siri mauaji Chadema yafichuka, Kilio cha mafuta balaa nchi nzima, ni baada ya TRA kufunga vituo vya mafuta nchi nzima ambavyo havina mashine za risiti za kielektroniki…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 15, 2017. Tazama video hapa

Rais wa Brazil kikaangoni, Bunge lamkingia kifua
Magazeti ya Tanzania leo Julai 15, 2017