Lissu awanyooshea kidole Bunge & Polisi, ashangazwa ukimya wao tukio la kupigwa risasi, Bunge lagoma kuzungumza, polisi wajibu mapigo, Kumekucha CCM, mkutano mkuu kufanyika Desemba 18 na 19, JPM kufungua mikutano UVCCM, UWT na Wazazi, Makada 17 CCM wapigana vikumbo jimbo la Nyarandu…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Desemba 8, 2017