Dunia ina mambo! Mwanaume mmoja na mwanamke ambao majina yao hayakupatikana haraka wamefanya mapenzi kwenye kituo cha treni mbele ya abiria waliokuwa wakisubiria usafiri huo.

Picha na taariafa zilizotolewa na Daily Mail zinawaonesha wawili hao wakifanya mapenzi kama wako faragha bila kujali watu wanaowaangalia katika jiji la Barcelona nchini Hispania.

Mapenzi 2

Abiria mmoja aliamua kuchukua kipande cha video cha tukio hilo huku wengine wakibaki midomo wazi. Kamera za CCTV zilionesha kurekodi tukio hilo Jumapili majira ya asubuhi.

Rafiki wa karibu wa mtu aliyerekodi kipande cha video alisema kuwa wameamua kuanzisha vuguvugu la kupinga vitendo cha hovyo kama hivyo jijini humo na watatoa fomu za kukusanya sahihi ili kulifanya kuwa pingamizi halali kisheria.

Taifa Stars Kupambana Na Harambee Stars Mwezi Ujao
Aliyebuni jina la ‘Tanzania’ alalamika, aeleza kiasi cha fedha alichopewa na jinsi alivyolibuni