Taarifa ya Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Dar es Salaam inasema barabara ya makutano ya Nyerere na Shaurimoyo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la reli  ya Kisasa ya SGR.

Barabara hiyo itafungwa kuanzia leo Mei 28 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.

Taarifa hiyo imesema katika kipindi hicho cha ujenzi, vyombo vyote vya moto pamoja na watembea kwa miguu wanashauriwa kutumia barabara ya Kawawa, Veta- Chang’ombe, Shaurimoyo, Kilwa Road na barabara ya mchepuko iliyojengwa pembezoni mwa eneo hilo la ujenzi.

Kocha USM Alger amuhofia Foston Mayele
Mzozo wakulima, wafugaji wauwa 10, watuhumiwa mbaroni