Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amevunja Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) na kuagiza sheria kuchukuliwa dhidi ya wajumbe wa bodi hiyo.
 
Rais Magufuli amechukua uamuzi huo leo Mei 24, 2017 baada ya kupokea ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini (Makinikia) yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania.

Breakingnews: Rais Magufuli amtumbua Waziri Muhongo
Hatima ya Manchester United UEFA kujulikana leo