Kamati Tendaji ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza kumvua uanachama Diwani wa Kata ya Ruiwa iliyopo Mbarali mkoani Mbeya, Kassim Mtale.

Aidha, kufuatia hatua hiyo, Diwani huyo amepoteza sifa za kuendelea kuiongoza kata hiyo kwakuwa tayari si mwanachama tena wa chama hicho.

Hata hivyo, Kata hiyo sasa inabaki wazi, huku Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikisubiriwa kutangaza mchakato wa uchaguzi wa kumpata diwani mpya.

Uingereza yaineemesha Tanzania
Mkuu wa Mkoa agoma kujiuzulu, asubiri maamuzi ya JPM