Mshambuliaji kinda wa ENGLAND na Chelsea Callum Hudson-Odoi amekamatwa na polisi siku ya Jana Jumapili majira ya saa 4 asubuhi saa za Uingereza baada ya kukiuka sheria ya kukaa ndani (Qarantini) kwa kwenda kukutana na mwanamke aliyefahamiana naye mtandaoni.

Ripoti Kutoka Gazeti La The Sun Limeripoti Kuwa Odoi Alikutana Na Binti Huyo Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kabla Ya Kukutana Naye Live.

  • Juventus na Barcelona wameripotiwa kufikia makubaliano ya awali katika mpango wao wa kubadilishana wachezaji ambao unawahusishwa wachezaji  Nelson Semedo wa (Barca) na Miralem Pjanic wa (Juve).
  • Manchester United watapaswa kupambaba Real Madrid kama ikiwa watataka kumyakua beki Milan Skriniar, 25, ambaye timu yake ya sasa ya Inter Milan inajiandaa kumruhusu mchezaji huyo kuondoka. (Mirror).
  • Kiungo wa kati a Fiorentina Chriastian Koffi, 19 , aliamua kutojiunga na Liverpool mwaka 2018 lakini anasema hakufanya makosa. (sofoot – in French).
  • Manchester United watapaswa kulipa pauni milioni 80 kwa ajili ya kumnasa kiungo wa Aston Villa Jack Grealish, 24, hata kama timu yake itashuka daraja msimu huu. (Mirror).
  • Kiungo wa kati wa Bayern Munich Corentin Tolisso  analengwa kusajiliwa na klabu ya Manchester United. Bayern iko tayari kumuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa 25 kwa ajili ya kupata fedha ili kununua wachezaji wengine, akiwemo winga wa Manchester City mjerumani Leroy Sane, 24. (Express).

Senzo Mazingiza - Sumaku ya makombe na majibu ya maswali duniani
Niyonzima ampongeza Luc Eymael