Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 4, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Waziri Hasunga atoa maagizo Simiyu, 'Tekelezeni haraka mkakati huu'
Video: Viongozi Chadema walivyotumia msiba kufikisha kilio chao, Polisi yatoa msimamo usafiri mabasi saa 24