Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 17, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Tanzania yachaguliwa kati ya nchi 10 zitazonufaika na Euro bilioni 44 za EU
Bondia mtanzania atwaa ubingwa wa A.B.U Afrika Kusini