Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi amewasili nchini mapema hii leo kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam

Ronaldo Hatarini Kufungiwa
Kilomoni Awajibu Waliomsimamisha Uanachama