Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, Tundu Lissu ameongoza maandamano ya amani ya chama hicho Mkoani Manyara ambayo yamefanyika hii leo April 26 katika Mji wa Babati.

Baada ya maandamano hayo, Lissu alizungumza na Wananchi wa Manyara katika mkutano wa hadhara na kueleza mambo mbalimbali yahusuyo chama hicho pamoja na ajenda ya tume huru ya uchanguzi  na katiba Mpya.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Aprili 27, 2024
Mwenge wabaini madudu mradi wa Maji Malinyi