Rais Uhuru Kenyatta ameongoza maelfu ya Wakenya katika maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Mwai Kibaki leo Aprili 29, 2022 katika Uwanja wa Nyayo.

Msafara wa mwili wa Hayati Kibaki

Viongozi mbalimbali wa mataifa wamehudhuria rayoba hiyo ya maziko na miongoni mwa Viongozi waliohudhuria ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, Rais Salva Kiir (Sudan Kusini), Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini) na Sahle Work-Zewde (Ethiopia).

Viongozi wa mataifa mbalimbali katika shughuli za kumuaga Hayati Kibaki

Malkin wa II wa Uingereza amemsifu Rais Kibaki kama mwananchi bora ambaye alikua na rekodi ndefu ya kuhudumia wakenya katika kipindi cha maisha yake.

Waombolezaji wakiwa Uwanjani

Kibaki alikuwa Rais wa Kenya kuanzia 2002 – 2013, na alifariki dunia akiwa na miaka 90 ambapo anaiacha Kenya kutokua na Rais Mstaafu ikiwa Nchi hiyo inaelekea katika uchaguzi.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, April 30, 2022
Bilioni 83.4 yabajetiwa Wizara ya Madini