Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Simon Sirro amefanya uhamisho pamoja na mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa Mikoa.

Aidha waliohamishwa ni pamoja na kamanda wa polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna msaidizi wa polisi ACP Juma Bwire na kuhamishiwa Makao Makuu ya Polisi Kamisheni ya upelelezi wa Makosa ya Jianai ambapo nafasi yake inachukuliwa na Afisa Mnadhimu Mkoa hu Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Allan Bukumbi.

Warsha ya 25 ya utafiti wa REPOA yaja na matumaini
Bilioni 688 zimetumika kuboresha huduma za maji vijijini