Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
Kabla ya Uteuzi huo, Geoffrey Idelphonce Mwambe alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
 
Pia, Rais Magufuli amemteua, Clifford Tandari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro. Clifford Tandari anachukua nafasi ya Dkt. John Ndunguru ambaye amestaafu.

Student Letter Sample
Kinda La Zambia Lajipanga Kuishangaza Dunia