Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki akiwa ameambatana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI ambaye pia ni Mbunge wa Chamwino, Deogratius Ndejembi kukagua Jengo la Upasuaji, Vifaa na vifaa tiba katika hafla ya makabidhiano ya Jengo la Upasuaji, Wodi ya Wazazi, Vifaa, vifaa tiba na gari la kubebea Wagojwa katika kituo cha afya Dabalo wilayani Chamwino.

Makabidhiano ya Jengo hilo tafanyika kutoka kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kupitia mradi wa kuboresha huduma za afya ya uzazi, watoto na vijana (RMNCAH – UNFPA) iliyofadhiliwa Serikali ya Denmark.

Habari Picha: Sirro alivyoagwa na Jeshi la Polisi
Idadi ya raia wanaokimbia mapigano Sudan yazidi kupaa