Mawakili wanaomwakilisha Muhubiri Ezekiel Odero, wameishtumu idara ya upelelezi kwa madai ya kuchelewesha uchunguzi wao dhidi ya shtuma zinazomkabili mteja wao.

Tangu kuachiliwa kwa dhamana kwa Mhubiri Ezekiel, amekuwa akiripoti ofisi ya upelelezi kila Jumatatu kama livyomrishwa na mahakama kuu ya Shanzu.

Muhubiri wa Kenya, Ezekiel Odero.

Hatua hiyo ni utekelezaji wa masharti ya dhamana, akisubiri uamuzi wa mahakama hiyo kuhusu tuhuma zinazomkabili.

Azam FC yajimwambafai safari ya Tanga
Marufuku kutoa binti wa kazi Iringa - Chongolo