Mara nyingi tumesikia maneno ya wahenga wakisema ”lisemwalo lipo na kama halipo ba si laja”

Yanaweza kuwa maneno ya kawaida lakini yenye maana kubwa sana. Nay wa Mitego alipofanya Wimbo wa pamoja na Diamond ”Muziki gani” kuna mistaari ilisikika kama Mganga wako aliyekutoa umekimbia hujamlipa. Akinukuu baadhi ya skendo zilizo kuwa zikimuandama Msanii huyo kwa kutembelea nyota za wasanii wenzake.

Hata hivyo mara nyingi wasanii tofauti tofauti wamekuwa wakizungumzia suala la Ndumba kuhusika katika muziki wa Tanzania na hiyo ni kutokana na imani  ambazo vijana wengi kwa sasa wamekuwa nayo juu ya kupata mafanikio ya haraka.

Juni 5 mwaka huu, Diamond wakati akimtambulisha Rich Mavoko WCB, aliwataka waandishi wa habari kuacha kuchochea migogoro ya wasanii ili waganga na wao wapumzike.

mavoko

Bado kauli za Msanii huyu zinazidi kudhihirisha kuwa muziki wa kibongo bongo hauendi mbele pasipo kuwa na mkono wa Tunguli .Usiku wa jana baada ya Tuzo kwenda kwa Black coffe wa  South Africa , Diamond platnumz (Simba) aliandika ujumbe mzito katika ukurasa wake wa TWEETER Uliosomeka

”haya ongeeni vizuri na waganga wenu baada ya siku nne simba anaachia ile Mashine”

hh

Fredrick Kitenge: Yanga Ni Wachanga Mno Kushindana Na TP Mazembe
Elias Maguli Asaini miaka Mitatu Uarabuni