Mshike mshike wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo ya mzunguuko wa tano kuchezwa katika viwanja tofauti.

Michezo iliyohusika ilikua ya kundi la kwanza hadi la nne.

Matokeo:

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Kwanza

Arsenal 2-2 Paris Saint Germain

Ludogorets Razgrad 0-0 FC Basel

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Pili

Besiktas 3-3 Benfica

SSC Napoli 0-0 Dynamo Kiev

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Tatu

Borussia Mönchengladbach 1-1 Manchester City

Celtic 0-2 Barcelona

UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Nne

FC Rostov 3-2 Bayern Munich

Atlético Madrid 2-0  PSV Eindhoven

Wenger: Bado Tuna Nafasi Ya Kuongoza Kundi A
Diamond awachana ‘Team Kiba’, adai wanakimbia akiwaomba pambano