Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Marekani matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuamua Rais wa 45 atakayemrithi Rais Barack Obama mwakani yakiendelea kupokelewa. Wagombea wawili wakuu, Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Democratic wanaendelea kuchuana vikiali. Pia imeelezwa kuwa iwapo wagombea wote wawili watalingana nguvu kwa kura za wajumbe, kila mmoja akipata kura 270, basi Bunge la Wawakilishi ndilo litakaloamua nani atakuwa rais. Bofya hapa kutazama #USIPITWE

Trump aongoza uchaguzi wa Marekani, atarajiwa kushinda Urais
Wabunge wapinga kupangiwa posho, waridhia wembe unyoe za watumishi Serikalini