Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 25, 2017 anazindua Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili Kampasi ya Mloganzila, Dar es salaam. Bofya hapa kutazama moja kwa moja uzinduzi huo muda huu.

Anthony Joshua amvaa Tyson
Messi avunja rekodi nyingine, atunukiwa kiatu cha dhahabu