Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo muda huu yupo mjini Longido akizindua mradi wa maji ambao utawasaidia kwa kiasi kikubwa wananchi wa mji huo ambao walikuwa na uhaba mkubwa sana wa maji. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Arusha

 

Magufuli kujengea ukuta madini ya Tanzanite
Everton yamkata Rooney mshahara wa wiki mbili