Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa majina ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo mbalimbali  vya ufundi.

Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na shule za Serikali na Shule za watu binafsi pamoja na vyuo vya ufundi.

TAMISEMI imeeleza kuwa wanafunzi waliochaguliwa watajiunga na masomo ya kidato cha tano Julai 11 mwaka huu na kwamba hakutakuwa na mabadiliko katika hilo.

BOFYA HAPA KUSOMA ORODHA KAMILI

Ukawa wawaka, wadai Serikali iandae Magereza za kutosha kuwafunga
Video: Serengeti Boys waitembelea Airtel